L'Internationale
Eugène PottierTAGALOG (FILIPPINO) [1] / TAGALOG (PILIPINO) [1] | |
Wimbo wetu na kimataifa Zindukeni enyi wafanyikazi Nyanyukeni tokeni kifungoni Amkeni wafungwa kueni macho Mwisho wa enzi za dhulma. Ondokeni kwana ushirikina Halaiki zindukeni, Tuwachane na nyendo za zamani, Kukuteni vumbi tujikomboe Enyi ndugu na enyi dada Tupambane hadi mwisho, Wimbo wetu na kimataifa, Na utuunganishe! Wazalendo tushikaneni Tupambane hadi mwisho, Wimbo wetu na kimataifa, Watuunganisha! Wadhalimu wasitugawanye Wasipande chuki kati yetu, Hata jeshi letu litaasi, Kutumikia wanyanyasaji. Hawa walafi wakitujaribu Tutawatoa kafara sisi Tuko tayari kuwapiga risasi, Majemedari wa ubepari Enyi ndugu na enyi dada Tupambane hadi mwisho, Wimbo wetu na kimataifa, Na utuunganishe! Wazalendo tushikaneni Tupambane hadi mwisho, Wimbo wetu na kimataifa, Watuunganisha! Ukombozi hautoki mbinguni Wala huruma za wadhalimu Ni mkono wetu wa kulia Utakao n'goa visiki Na Mizizi ya vita na chuki Na ulafi na wasiwasi Kila mtu ana jukumu lake Chuma hugongwa kingali moto. | INTERNASYONAL Bangon, sa pagkakabusabos Bangon, alipin ng gutom! Katarungáy bulkang sasabog Sa huling paghuhukom. Gapos ng kahapóy lagutin. Tayong api ay magbalikwas! Tayo ngayóy inaalipin, Subalit atin ang bukas. Itóy huling paglalaban Magkaisát nang masaklaw! Ang Internasyonal Ang buong daigdigan. Itóy huling paglalaban Magkaisát nang masaklaw! Ang Internasyonal Ang buong daigdigan. Walang ibang maasahang Bathala o manunubos, Kaya ang ating kaligtasáy Nasa ating pagkilos. Manggagawa, bawiin ang yaman Kaisipáy palayain. Ang maso ay ating hawakan, Kinabukasáy pandayin. Itóy huling paglalaban Magkaisát nang masaklaw! Ang Internasyonal Ang buong daigdigan. Itóy huling paglalaban Magkaisát nang masaklaw! Ang Internasyonal Ang buong daigdigan. |